Maina Njenga akataliwa katika chama cha Jubilee

Chama cha Jubilee kimekataa kupokea karatasi za uteuzi za aliyekuwa kiongozi wa kundi lililoharamishwa  la Mungiki,  Maina Njenga.Wakati huo huo, Rais Uhuru Kenyatta ametangaza mipango ya kuajiri maafisa wa polisi elfu kumi zaidi mwaka huu.

Tags:

JUBILEE Maina Njenga

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories