Maiti ya Gavana Gachagua yawasili nchini

Mwili wa aliyekuwa gavana wa Nyeri Nderitu Gachagua iliwasili nchini mapema leo kutoka Uingereza ambapo alifariki akipokea matibabu wiki iliyopita. Familia yake pamoja na magavana Kenneth Lusaka wa Bungoma, Jack Ranguma wa Kisumu na Paul Chepkwony wa Kericho waliandamana na mwili wa mwendazake kutoka London.

Tags:

Nderitu Gachagua

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories