Maiti ya mlinzi wa El Maawy yapatikana Milihoi

Mlinzi wa katibu katika wizara ya ujenzi Mariam El-Maawy, amepatikana akiwa amefariki katika sehemu ya msitu wa Boni eneo la Milihoi kaunti ya Lamu. Mlinzi huyo aliripotiwa kutoweka baada gari walimokuwa wakisafiria kutekwa nyara na wanamgambo wa Al Shabaab siku ya Alhamisi.

Tags:

lamu Al Shabaab El Maawy Milihoi

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories