Maiti za walioangamia Mandera zaanza kutambuliwa

Familia nane za waathiriwa wa shambulizi la kigaidi katika kaunti ya Mandera lililopelekea vifo vya watu 12 walifika na kutambua miili ya wapendwa wao.
Shughuli hiyo ya kuwatambua ilizua majonzi katika hifadhi ya maiti ya Chiromo walikosafirishwa wafu hao.
Na kama anavyoarifu Hassan Mugambi haya yanajiri huku maswali mengi bila majibu yakiendelea kuulizwa kuambatana na shambulizi hilo la Jumatatu.

Tags:

chiromo Shambulizi la Mandera

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories