Maiti zaidi zapatikana Kasese

Idadi ya watu waliofariki kufuatia machafuko katika eneo la kasese magharibi mwa uganda imefikia 126.
Hii ni baada ya kupatikana kwa miili 25 ya watu wanaodaiwa kuwa mchanganyiko wa walinzi wa mfalme wa eneo la ruwenzururu pamoja na wananchi.
Hassan mugambi amekuwa akifuatia yayojiri huko uganda na kulingana na taarifa yake, mfalme charles mumbere ambaye alikamatwa hapo jana ameshtakiwa kwa mauaji ya halaiki.

Tags:

Kasese

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories