Majaji 2 waamua uchaguzi ulikuwa wa haki


Uamuzi wa kubatilisha ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta katika mchuano wa ikulu haukuungwa mkono na majaji wote wa mahakama ya upeo nchini. Majaji Jackton Ojwang na Njoki Ndung’u walitoa uamuzi mbadala, na kusema kinara wa Nasa Raila Odinga hakutoa ushahidi wa kutosha, kuwashawishi kuwa uchaguzi wa urais ulikumbwa na dosari chungu nzima.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Francis Gachuri
More by this author