Majaji 7 wa mahakama ya juu kutoa uamuzi kesho


Jopo la majaji saba wa mahakama ya kilele nchini linatarajiwa kutoa uamuzi kuhusiana na kesi inayopinga matokeo ya ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta hapo kesho. kinara wa Nasa Raila Odinga jioni hii amehudhuria maombi saa chache kabla ya uamuzi huo kutolewa.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Makori Ongechi
More by this author