Majaji Isaac Lenaola na Philomena Mwilu watuhumiwa


Tume ya kuwaajiri majaji nchini imetakiwa kuwachunguza majaji wawili wa mahakama ya kilele kufuatia madai ya kuwa na uhusiano na mawakili waliomwakilisha kinara wa Nasa Raila Odinga wakati wa kusikizwa kwa kesi iliyopinga ushindi wa Kenyatta.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Makori Ongechi
More by this author