Majaji wa Mahakama ya Kilele waenda faraghani kuandika uamuzi


Majaji saba wa mahakama ya upeo kuanzia asubuhi ya leo wamekuwa katika shughuli ya kutathmini ushahidi na hoja zilizowasilishwa mbele yao, kabla ya kila mmoja kukaa kivyake na kuandika hukumu kuhusiana na kesi iliyowasilishwa mbele yao kupinga ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta katika uchaguzi mkuu wa Agosti nane.
Hassan mugambi anaangazia jinsi mambo yatakavyokuwa iwapo watatoa uamuzi wa kukubali au kufutilia mbali yaliyowasilishwa na upande wa mlalamishi.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Hassan Mugambi
More by this author