Majambazi waiba kahawa ya Ksh 2 M Embu


Wakulima wa kahawa kutoka kaunti ya Embu wanakidira hasara kubwa baada ya majambazi kuvamia kiwanda chao cha Mwiria usiku wa kuamkia leo na kuiba kahawa yenye thamani ya shilingi milioni moja nukta tano.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: A section of Jubilee MPs jittery with Kenyatta-Odinga pact

Story By Citizen Team
More by this author