Majambazi wavamia hafla ya mazishi Baringo

Polisi wamewapiga risasi na kuwaua majambazi watatu waliofika kushambulia wenyeji kwenye mazishi ya watu kumi waliouwa wiki jana huko Baringo. Watatu hao walikuwa miongoni mwa kundi la majambazi lililokuwa na nia ya kuchafua mazishi hayo ya pamoja kwa wahasiriwa wa mapigano hayo. Kwa sasa hali ya taharuki inasemekana kutanda huku askari wakizidi kushika doria na maeneo mengi yakisalia mahame.

Tags:

baringo Majambazi wa baringo

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories