Majeshi ya KDF yaingia Baringo kusaka wahalifu

Maafisa watatu wamepigwa risasi na kujeruhiwa na wahalifu kutoka jamii ya Wapokot kwenye operesheni ya kuwaokoa wanawake wanane wa jamii ya Wailchamus waliotekwa nyara na wahalifu hao katika kaunti ya Baringo. Kwa mujibu wa Inspekta Mkuu Wa Polisi Joseph Boinnet, operesheni hiyo itaendelea hadi wahalifu wote watiwe mbaroni. Hassan mugambi yuko Baringo na ametuandalia taarifa ifuatayo.

Tags:

Uhuru kenyatta KDF baringo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories