Majonzi Ya Waturkana: Wakazi walalama kwa kunywa maji machafu

Zaidi ya wakazi elfu kumi wanakunywa maji machafu kutokana hivyo kuathirika na magonjwa kwa sababu ya ukosefu wa maji safi ya kunywa.
Hayo yanajiri licha serikali kuu kutengea kaunti hiyo zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa miradi ya maendeleo. Emanuel cheboit amezamia taarifa.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories