Makadinali wote wa dehebu la Legio Maria watimuliwa

Papa Romanus Ongombe wa kanisa la Legio Maria amefuta makadinali wote wa kanisa hiloHaya yanajiri majuma mawili baada ya baadhi ya viongozi walilalamikia uwepo wa msichana mmoja ambaye alipiga kambi katika mji wa papa na kumfanya kuwatelekeza wafuasi wake. Papa kwa sasa anakashifu kuwa na umri wake wa miaka 94 hana hamu ya mwanamke, anavyotuarifu Kassim Mwalimu Adinasi kutoka jimbo la Migori

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories