Makali ya njaa

Serikali inapania kutumia takriban shilingi bilioni kumi na sita kwa muda wa miezi sita ili kukabili baa la ukame linaloonekana kuathirni takriban wakaazi milioni mbili,kwani utafiti umeonyesha kwamba mvua ilionyesha mwezi novemba na disemba ilikuwa kidogo mno na ndio sababu kuu ya hali hii,aidha serikali kupitia wizara ya ugatuzi imesema kwamba tayari fedha zimetolewa katika idara husika kuhakikisha kwamba hakuna atakayeathirika  na hali hii kwani wamejihami vilivyo lakini uchunguzi wa runinga ya citizen umebaini kwamba eneo kama baringo hali inazidi kuwa mbaya licha ya kwamba fedha kidogo zilitolewa katika awamu ya kwanza .

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories