Makali ya njaa yanazidi kushududiwa katika sehemu mbalimbali humu nchini

Makali ya njaa yanazidi kushududiwa katika sehemu mbalimbali humu nchini wakazi zaidi ya elfu 30,000 wa eneo la samburu kaunti ya Kwale sasa wakisemekana kuwa katika hatari ya kuangamia. Hii ni kutokana na ukame ambao pia unataharisha maisha ya mifugo , 300 wakiwa wameangamia hadi kufikia sasa. mwanahabari wetu Nicky Gitonga anatupa taswira kamili ya hali ilivyo baada ya kuzuru kijiji kilichoathirika zaidi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories