Makamishna wa IEBC wafika mbele ya Seneti

Makamishna wa tume ya uchaguzi nchini-IEBC wanasisitiza kuondoka ofisni iwapo watafidiwa kwa muhula wao uliosalia na warithi wao kuteuliwa, ili wawapokeze usukani. mwenyekiti wa iebc Ahmed Issack Hassan ameiambia seneti kuwa mapendekezo ya kamati teule ya bunge kuwa wang’atuke kufikia mwishoni mwa juma hili hayakujumuishwa kwenye sheria ya uchaguzi iliyotiwa wahihi na rais, na inayosubiri kuanza kutekelezwa mwezi ujao. inakisiwa gharama ya kuwaondoa ofisini makamishna wa iebc itagonga zaidi ya sh. 200m.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories