Makamishna wa IEBC wakutana kujadili mgogoro wao


Makamishna wa tume ya IEBC na maafisa wakuu wa tume hiyo wanatarajiwa kuandaa kongamano kuanzia Jumapili hii huko Naivasha kusuluhisha mizozo ambayo imekuwepo na kupanga ratiba ya uchaguzi wa urais ujao.
Hatua hii inawadia baada ya mkutano uliofanyika hii leo baina ya makamishna kufuatia mikinzano ya sera na hatua dhidi ya maafisa wa tume hiyo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Sam Gituku
More by this author