Makamishna wa IEBC wakutana na viongozi wa Jubilee


Chama cha Jubilee na tume ya uchaguzi na uratibu wa mipaka nchini IEBC wamebuni kamati ya watu sita itakayotafuta mbinu ya kufanya uteuzi wa wagombea wa chama cha Jubilee. Kamati hiyo inatarajiwa kukutana kupanga jinsi Jubilee itaendesha shughuli ya uteuzi wa wagombea wake mwezi machi. Ben kirui ana maelezo Zaidi.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: MPs threaten to slash NYS budget

Story By Citizen Team
More by this author