Makamishna wa IEBC wakutana na wawakilishi wa serikali


Mazungumzo baina ya tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC na kamati maalum iliyoteuliwa kutafuta mwafaka wa kuwalipa makamishna wa tume hiyo wanapoondoka ofisini yameng’oa nanga leo katika ofisi ya rais hapa jijini Nairobi.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Different journeys, same destiny: The story of top two candidates | KCSE 2020 |

Avatar
Story By Moses Ngugi
More by this author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *