Makamishna wasema kuwa fidi ni ndogo


Makamishna wa tume ya uchaguzi nchini-IEBC wamekaidi pendekezo la serikali, kuhusu fedha wanazofaa kulipwa, kama fidia ya kuondoka ofisini kabla ya muhula wao kukamilika. Baadala yake, makamishna hao wametoa orodha ya marupurupu wanayoshinikiza kupewa. Na huku vuta nikuvute hiyo ikiendelea, kampuni ya royal media services imewasilisha kesi mahakamani, kuhimiza makamishna hao wasilipwe, hadi mzozo  kuhusu gharama ya matangazo katika televisheni na radio, ambayo mwenyekiti wa IEBC Ahmed Issack Hassan na timu yake waliidhinisha utatuliwe.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Treasury allocates Ksh 4.5 B for procurement of vaccines

Avatar
Story By Francis Gachuri
More by this author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *