Makau Mutua asema hana shida kufanya kazi na Rais Uhuru

Kijoto kilichacha katika shughuli ya mahojiano ya wanaotafuta nafasi ya jaji mkuu huku Profesa Makau Mutua akijipata matatani kuhusiana na ujumbe wake kwenye mtandao wa twitter ambapo alisema kuwa hamtambui Rais Uhuru Kenyatta. Mutua alijitetea kuwa kauli hiyo alitoa kutokana na kutoridhishwa kwake na uamuzi wa mahakama ya juu zaidi kuhusu mzozo w auchaguzi huo na kwa maoni yake Rais Kenyatta hakustahili kuwa rais kwasababu ya tuhuma za jinai katika mahakama ya ICC.

Tags:

Prof Githu Muigai Prof Makau Mutua CJ interviews Mutunga succession

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories