Makovu ya feri ya Mtongwe

Miaka ishirini na mitatu baada ya mkasa wa feri ya mtongwe iliyoangamiza zaidi ya watu mia mbili na kujeruhi wengi zaidi kungali na waathiriwa ambao hawajafidiwa na serikali. Na kama anavyotuarifu Saida Swaleh mipango ya kukifungua tena kivuko cha feri ya Mtongwe unanukia huku Rais Uhuru Kenyatta akitarajiwa kukifungua rasmi.

Tags:

Mtongwe ferry Rais Uhuru Kenyatta

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories