Malaria yaua watu 40


Watu 40 wamethibitishwa kufariki kutokana na ugonjwa wa Malaria katika kaunti za Baringo na Marsabit, huku zaidi ya wengine 800 wakiwa wameripoti kuwa na ishara za ugonjwa huo.
Huku serikali na mashirika ya msaada yakiingilia kati kujaribu kutatua hali hii inayotishia maelfu ya wananchi, wakenya wanaoishi katika kile kimatajwa kuwa ukanda wa maambukizi wameelezwa kuwa makini.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Hassan Mugambi
More by this author