Mali ya mamilioni ya pesa yaharibiwa na moto mjini Kisumu


Wanabiashara katika eneo mashuhuri la biashara la Tanganyika juakali huko Kisumu wanaendelea kukadiria hasara baada ya moto mkubwa kuteketeza mali yao
Wanabiashara hao wanalalamikia kile wanachodai ni utepetevu wa wazima moto eneo hilo ambao wanasema hawakufika kwa wakati ufaao. Moto huo umeteketeza magari pamoja na bidhaa nyinginezo zenye thamani ya mamilioni ya fedha. Wakazi sasa wanatoa wito kwa serikali kuwasaidia kurejelea hali yao ya kawaida

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Citizen Team
More by this author