Mama asiyejua kusoma wala kuandika ashinda Turkana


Hajui kusoma wala kuandika. Hajui Kiswahili wala kiingereza. Lakini wakazi wa wadi ya Lakezone eneo bunge laTurkana kaskazini katika kaunti ya Turkana, walimchagua kuwa diwani wao. Ni mama mwenye umri wa miaka 69 aliyepambana na wanaume wasomi na kuwashinda katika uchaguzi mkuu wa agosti nane. Cheboit Emmanuel anatupasha zaidi kutoka Turkana.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: High amounts of Mercury, Copper found in contraband sugar

Story By Emmanuel Cheboit
More by this author