Mamake mhubiri Pius Muiru auwawa

Polisi katika eneo la kigumo kaunti ya muranga wanawazuiliwa washukiwa wawili kufuatia kifo cha mamake muhubiri pius muiru aliyetoweka siku tatu zilizopita na baadaye mwili wake kupatikana ukiwa umezikwa. Washukiwa hao ni mlinzi wa boma la mamake kasisi huyo na mkewe mwanawe ambao waliwaelekeza polisi katika eneo ambapo marehemu alikuwa amezikwa

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories