Mamia ya wafugaji wafurushwa katika shamba la Solio

Huku makali ya njaa yakiendelea kuwaathiri maelfu ya wakenya kutoka maeneo mbali mbali ya taifa hili, wafugaji wanaendelea kufanya lolote na chochote kuhakikisha kuwa maelfu ya mifugo wao hawaangamii. Baadhi ya hatua wanazochukua ni pamoja na kushinikiza kuwalisha mifigo wao katika mashamba ya kibinafsi na hifadhi za wanyamapori ili mradi wapate tu majani ya kula. Lakini neema hiyo haikuwakubali mamia ya wafugaji kutoka katika kaunti ya Laikipia baada ya kufukuzwa kutoka katika shamba moja la kibinafsi eneo hilo almaarufu kama Solio Ranch.

Tags:

laikipia Solio ranch wafugaji

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories