Mamlaka ya usalama barabarani yaanzisha oparesheni

Halmashauri ya kutathmini nidhamu ya maafisa wa polisi IPOA imeanzisha uchunguzi kubaini iwapo maafisa wa polisi walitumia nguvu kupita kiasi katika kuwafurusha wanafunzi wa chuo kikuu cha Multimedia waliokuwa wanaandamana siku ya Jumanne.

Tags:

NTSA IPOA Multimedia

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories