Mangiti ahojiwa kuhusiana na kashfa ya NYS

Aliyekuwa katibu mkuu katika wizara ya ugatuzi na mipango Peter Mangiti, hii leo ameelezea masikitiko yake katika wizara hiyo huku akitoa maelezo ya jinsi pesa katika idara ya NYS zilivyopotea. Mangiti aliielezea kamati ya bunge inayochunguza sakata hiyo kuwa aliyekuwa waziri Anne Waiguru aliendesha shughuli za wizara hiyo bila kuzingatia sheria huku akimtaja kama mhusika mkuu katika sakata ya NYS.

Tags:

PAC NYS Peter Mangiti

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories