Manifesto ya Jubilee

Chama cha Jubilee kuzindua manifesto kesho. Maudhui ni ya kuendeleza yanayofanywa na serikali ,Sekta ya viwanda kuongoza ukuaji wa uchumi miundo msingi Kuimarishwa,masomo ya sekondari bila malipo kuanza mwaka ujao,nafasi 100,000 za ajira kwa vijana kila mwaka

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories