Maombi kwa Nkaissery yafanyika

Rais Uhuru Kenyatta hii leo aliongoza taifa hili kumtaja waziri mwendazake Joseph Nkeissery kama mfanyikazi bora zaidi kuwahi kuhudumu katika serikali yake.
Akizungumza katika ibada ya wafu iliyoandaliwa kwa niaba ya Nkaiserry katika kanisa la Nairobi Baptist hapa jijini Nairobi, rais amehakikishia familia ya mwendazake kwamba ataiunga mkono kivyovyote vile.

Tags:

Joseph Nkaissery Nairobi Baptist Church

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories