Marehemu Nkaissery azikwa nyumbani kwake Ilbisil, Kajiado


Maelfu ya waombolezaji hii leo walifika nyumbani kwa Marehemu Joseph Ole Nkaissery kumpa mkono wa buriani. Rais Uhuru Kenyatta na kinara wa upinzani Raila Odinga walikuwa miongoni mwa wageni waliofika kumuomboleza Nkaissery huku wakihubiri amani.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Floods exhume bodies at a cemetery

Story By Stephen Letoo
More by this author