Marekebisho ya sheria ya jinai za ngono yakataliwa

Bunge la kitaifa limepiga teke mswada uliolenga kuorodhesha tabia za wanaume kuwakonyeza wanawake au kuwaangalia kwa jicho la matamanio, kama dhuluma za kimapenzi. Mswada huo, uliowasilishwa na mwakilishi wa wanawake wa kaunti ya busia florence mutua ulikusudia kuwaadhibu  wanaume wenye mazoea ya kuwatoma  wanawake haswa katika maeneo ya umma bila idhini yao.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories