Marende Ateuliwa Kenya Power

Aliyekuwa spika wa bunge la taifa kenneth marende hii leo amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa bodi la wakurugenzi wa kampuni ya kenya power and lighting. Marende ambaye anachukua uongozi baada ya Eliazar Ochola, sasa amekuwa mwenyekiti wa ishirini na tano katika kipindi cha miaka tisaini na nne tangu kuzinduliwa kwa kampuni hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories