Margaret Kenyatta amsaidia mama majukumu ya nyumbani


Chambilecho wahenga mgeni aje mwenyeji apone, mama mmoja katika kijiji cha kishaunet kaunti ya Pokot Magharibi ameibuka kuwa maarufu baada ya mkewe rais kutembelea katika boma lake na kumsaidia kutekeleza majukumu ya nyumbani.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: MPs want Iran envoy to stop meddling on terror cases

Story By Collins Shitiyabayi
More by this author