Marufuku dhidi ya utumizi wa mifuko ya plastiki yaanza kutekelezwa


Tarehe 28 mwezi Agosti iliyosubiriwa na wengi kama siku ya kupiga marufuku karatasi za plastiki hatimaye imefika. Hata hivyo kumekuwa na ulegevu na ushirikiano kwa kiwango sawa kwa marufuku hii kutoka kwa wafanyibiashara na wakaazi kote nchini.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Saida Swaleh
More by this author