Marufuku ya kuuza miraa iliwaathiri wakazi

Hatua ya serikali ya Uingereza kupiga marufuku mmea wa miraa nchini humo mwaka wa 2014 ilikuwa kama janga kuu kwa wakazi wa kaunti ya Meru ambao kwa miaka na mikaka wamekuwa wakifaidika pakubwa. Serikali ya Somalia ilipopiga marufuku safari za ndege za kuuza miraa nchini humo hali iliharibika zaidi. Ingawa suala la Somalia lilitatuliwa hali haijarejea kawaida kama anavyotufahamisha mwanahabari wetu Gatete Njoroge kwenye makala ya mwisho ya kisunzi cha miraa.

Tags:

meru Miraa somalia gatete njoroge Kisunzi cha miraa

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories