Marufuku ya safari za usiku yawahangaisha wengi

Kumeshuhudiwa msongamano mkubwa wa wasafiri katika vituo tofauti vya mabasi nchini huku idadi kubwa ya wasafiri ikikwama katika vituo hivyo. Baadhi ya wale ambao wamejipata katika purukushani hiyo ni wanafunzi ambao walifaa kuripoti shuleni kuanzia leo. Na kama anavyoripoti mwanahabari wetu Makori Ongechi, hali hiyo imechangiwa pakuwa na hatua ya serikali kupitia NTSA kupiga marufuku usafiri wa umma majira ya usiku

Tags:

NTSA Usafiri

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories