Marwa asema oparesheni itaanza rasmi kesho

Oparesheni kali ya kijeshi inaendelea katika msitu wa Boni  kujaribu  kuwaondoa wanamgambo wa kundi la kigaidi la alshabab wanaosemekana kujificha ndani ya msitu huo. Haya yanajiri siku tatu tu baada ya watu tisa kuchinjwa kinyama na watu wanaodaiwa kuwa wapiganaji wa al shabab.

Saida Swaleh anaelezea hali ilivyo kwa sasa.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories