Marwa atofautiana na Gavana wa Mombasa

Polisi katika maeneo ya pwani wamethibitisha  kukamatwa kwa watu watatu wanaoshukiwa kuwa walanguzi wa dawa za kulevya.
Wakati uo huo mratibu wa pwani Nelson Marwa amedokeza kuwa bunduki nne zimepatikana nyumbani mwa Arub Ibrahim ambaye ni mfanyibiashara mjini Mombasa. Kukamatwa kwa Ibrahim hapo jana kulizua utata kati ya gavana wa Mombasa Hassan Joho na wafuasi wake kwa upande mmoja na maafisa wa polisi kwa upande wa pili.

Tags:

Mombasa Hassan Joho Nelson Marwa Biashara ya mihadarati

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories