Masaibu Ya Mfu: Maiti amekuwa kwenye hifadhi kwa miaka minne, Migori

Alipotea miaka minne iliyopita. Familia yake ikakosa matumaini ya kumpata. Na alipopatikana, alikuwa mfu kwenye hifadhi ya maiti ya ya hospitali ya Awendo. Sasa familia ya mwendazake inayoishi Migori imeshindwa kuchangisha shilingi laki nne kuondoa mwili wa mpendwa wao na kuuzika. Kinaya ni duru zimeiarifu familia hiyo kuwa hospitali inapanga kuuza maiti kwenye taasisi ya utafiti. Mwanahabri wetu Kassim Adinasina kina cha taarifa hizo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories