Maseneta kujadili mswada uliopitishwa bungeni

Mjadala kuhusu sheria mpya za uchaguzi ungali umeshika kasi huku bunge la seneti likiwa mwamuzi wa mwisho iwapo sheria hizo zitaifikia meza ya rais au la. Bunge la seneti linatarajiwa kuwa na kikao maalumu kujadili sheria hizo kesho kutwa.

Tags:

bunge la taifa seneti uchaguzi sheria ya uchaguzi

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories