Maseneta wateule wafunzwa kanuni za bunge


Wabunge na maseneta wataapishwa kuanzia saa tatu asubuhi hapo kesho kabla ya uchaguzi wa maspika na manaibu wao kufanyika. Shughuli za kutoa mafunzo kwa maseneta kuhusu kanuni za bunge ilikamilika hii leo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Stephen Letoo
More by this author