Mashambulizi zaidi yaripotiwa Baringo

Wakaazi wa kaunti ya baringo eneo la marigat wameandaa maandamano kufwatia vifo vya kila leo na ukosefu usalama katika kaunti hiyo. Hii ni baada ya mtu mwengine kufariki na lori zilizokuwa zikisafirisha vyakula kuvamiwa na wavamiaji katika eneo la yatya huku zikisubiriwa katika eneo la baringo kaskazini.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories