Mashirika 3 yapania kuwalisisha kesi kortini kupinga matokeo ya urais


Mashirika matatu ya kijamii yametupiwa jicho na serikali, huku muda wa kuwasilisha kesi ya kupinga matokeo ya marudio ya uchaguzi wa urais ukikatika siku ya Jumatatu. Mashirika hayo; Inuka Trust, Muhuri na Katiba Institute ni baadhi ya yale yanayodaiwa kujiandaa kuwasilisha kesi ya kumtoa Rais Uhuru Kenyatta nyama mdomoni kwa mara ya pili, kupitia agizo la mahakama ya upeo. Na kama anavyotuarifu Francis Gachuri, mazingira ya kupinga matokeo ya urais yamebadilishwa na ukarabati uliofanyiwa sheria mpya za uchaguzi.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: KEMRI scientists examine safety of anti-malarial drugs in first trimester of pregnancy

Avatar
Story By Francis Gachuri
More by this author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *