Masomo yatatizika Kisumu kufuatia maandamano ya jana


Watoto wa shule moja ya chekechea iliyoko eneo la Nyalenda katika kaunti ya Kisumu hapo jana walijipata taabani baada ya polisi kurusha vitoa machozi katika shule yao. Inadaiwa polisi waliingia shuleni humo na hadi sasa haijabainika walichokuwa wakitafuta.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Citizen Team
More by this author