Maswali yaibuka kuhusu wafanyibiashara halisi jijini


Kundi maarufu kama Nairobi Business Community lililojitokeza kupinga maandamano yaliyoitishwa na mrengo wa NASA limekanusha uhusiano wowote na kundi lililoharamishwa la Mungiki. Kundi hilo aidha linadai kumiliki biashara kadhaa jijini. Hii ni licha ya wamiliki wa biashara za kibinafsi waliosajiliwa na serikali kukana kuwatambua.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Makori Ongechi
More by this author