logo

Matatizo ya tezi

By For Citizen Digital

Ukiambiwa pima unauliza nini, ukiambiwa fanyiwa uchunguzi wa afya yako mara kwa mara unasema uko sawa. Jackline Shibalira ni mmoja wa wale wanaosisitiza umuhimu wa kupimwa kwa sababu yeye aliugua maradhi ya tezi na kutibiwa magonjwa ambayo hayakuwepo, hivi sasa anafanya uhamasisho wa kuhakikisha watu wanapimwa mara kwa mara kujua iwapo wanaugua ndiposa wapate matibabu mapema.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Aliyekuwa Naibu Rais Emmerson Mnangagwa kuapishwa kama Rais


By Anne Mawathe More by this author


Most RecentSponsored Content