Matiang’i aagiza wahadhiri waajiriwe kwa mkataba

Wizara ya elimu imetangaza kufungwa kwa mabewa yote ya vyuo vikuu vya umma yaliyoko katika miji midogo midogo akisema kuwa yanaathiri viwango vya masomo ya vyuo vikuu nchini.
Akizungumza katika kikao na wasimamizi wa vyuo vikuu nchini, waziri wa elimu Dkt. Fred Matiangi amesisitiza kuwa kama njia moja wepo ya kuhakikisha utendakazi thabiti wizara yake imefutilia mbali kandarasi za kudumu kwa wafanyikazi wa vyuo vikuu watakaoandikwa kazi kwanzia sasa.

Tags:

public universities Commission for University Education (CUE) lecturers'strike

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories